Kunga za Manyakanga
Hiki ni kitabu kifupi kinachomfunda mwari wa Kiswahili kuhusu mambo mbali mbali. Bi Rehema Nyakanga aliyebobea anamfunda mjukuu wake Ndepi.
Jozani Natural Forest: Zanzibar Treasures in Wild
Hiki ni kitabu kinachofafanua uwepo na matumizi ya miti ya dawa ya Jozani. Ni kitabu muhimu sana kwa waganga, watafiti, wanafunzi, waongoza wageni na jamii kwa jumla. Miti iliyotajwa katika kitabu hiki sio yote ya Jozani. Mingi imeachwa na itaandikwa baadae.
Ilikuvipata vita bu hivi wasiliana na muwandishi
Yussuf H Kombo (The herbalist of Zanzibar) na mweledi wa lugha ya Mnato
simu: +255 713 459447
simu: +255 0772 371701
Emails: yhkombo@yahoo.com



No comments:
Post a Comment